Mtunzi: Shanel Komba
> Mfahamu Zaidi Shanel Komba
> Tazama Nyimbo nyingine za Shanel Komba
Makundi Nyimbo: Mama Maria
Umepakiwa na: Shanel Komba
Umepakuliwa mara 6,019 | Umetazamwa mara 14,129
Download Nota Download MidiSHANEL KOMBA.
DODOMA.
Tufurahi sote, tufurahi sote katika Bwana x2
Tunapo adhimisha sikukuu kwa heshima ya bikira Maria x2
1. Malaika wafurahia kupalizwa kwake Maria na wanamsifu Mwana wa Mungu.
2. Heri mama Maria umepalizwa mbinguni ishara kubwa imeonekana.
3. Mwimbieni Bwana mwimbieni Bwana wimbo mpya kwa maana ametenda maajabu.