Ingia / Jisajili

Tufurahiwe Sote

Mtunzi: Dr. Alex Xavery Matofali
> Mfahamu Zaidi Dr. Alex Xavery Matofali
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. Alex Xavery Matofali

Makundi Nyimbo: Mama Maria | Mwanzo

Umepakiwa na: Alex Xavery Matofali

Umepakuliwa mara 730 | Umetazamwa mara 2,702

Download Nota
Maneno ya wimbo

Tufurahiwe sote katika Bwana (sote) tunapoadhimisha sikukuu (sikukuu) kwa heshima ya Bikira Maria x2

1. Malaika wafurahia kupalizwa kwake, na wanamsifu mwana wa Mungu

2. Atukuzwe atukuzwe Baba na Mwana, na Roho Mtakatifu milele milele


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa