Ingia / Jisajili

Tuingie Kwake Kwa Kucheza

Mtunzi: Simon K. Muchemi
> Mfahamu Zaidi Simon K. Muchemi

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Simon Muchemi

Umepakuliwa mara 588 | Umetazamwa mara 1,139

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Tuingie kwake kwa kuchezacheza zeze,ngoma na kayamba tuingie kwake Mungu wetu tukamwabudu.

1. Yeye ndiye aliyetuumba - tuingie kwake tukamwabudu Mungu wetu
2. Yeye ndiye anaye okoa - tuingie kwake tukamwabudu Mungu wetu
3. Yeye ndiye Mungu wa wajane - tuingie kwake tukamwabudu Mungu wetu
4. Yeye ndiye Mungu wa ya ti ma - tuingie kwake tukamwabudu Mungu wetu
5. Yeye ndiye Mungu wa baraka - tuingie kwake tukamwabudu Mungu wetu
6. Yeye ndiye Mungu wetu sote - tuingie kwake tukamwabudu Mungu wetu
7. Yeye ndiye Mungu Baba yetu - tuingie kwake tukamwabudu Mungu wetu
8. Tutamsifu Mungu siku zote - tuingie kwake tukamwabudu Mungu wetu


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa