Ingia / Jisajili

Tujongee Meza Ya Bwana

Mtunzi: Moses j Machumu
> Mfahamu Zaidi Moses j Machumu

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Moses j Machumu

Umepakuliwa mara 8 | Umetazamwa mara 17

Download Nota
Maneno ya wimbo
Waumini wenye moyo Safi tujongee meza ya bwana twende tupokee mwili na damu ya yesu*2 Tujogee tukale tujongee meza ya bwana wenye moyo Safi Tujogee tukanywe tujongee meza ya bwana wenye moyo Safi*2 Beti 1.Bwana Yesu alisema kuleni mwili wangu kunyweni na damu yangu mpate uzima wa milele 2.jitakase moyo wako kisha uijongee meza ya bwana Yesu upate uzima wa milele 3.Bwana Yesu ameiandaa karamu takatifu tujongee wenye moyo Safi tupate uzima wa milele

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa