Mtunzi: Filbert Thoy
> Mfahamu Zaidi Filbert Thoy
> Tazama Nyimbo nyingine za Filbert Thoy
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Filbert Thoy
Umepakuliwa mara 677 | Umetazamwa mara 3,573
Download Nota Download MidiTujongee meza ya Bwana Bwana Yesu ametuandalia chakula cha roho chenye utamu wa kila namna X2
Bwana Yesu ametuandalia chakula
Bwana Yesu ametuandalia kinywa—(tena ) –ji twende tukale
1. Mwili wa Bwana Yesu ni chakula damu yake Bwana Yesu ni kinywaji
2. Tumeandaliwa chakula cha mbinguni wale wenye moyo safi wanaalikwa
3. Chakula hiki chashuka kutoka mbinguni kwa maumbo ya mkate pia divai