Mtunzi: Herman C. Makoye
> Tazama Nyimbo nyingine za Herman C. Makoye
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Herman Makoye
Umepakuliwa mara 5 | Umetazamwa mara 6
Download Nota Download MidiTUKALIJENGE KANISA
Ndugu waumini, hima, twende
kwa moyo wa upendo, tukatoe michango yetu tulijenge Kanisa x2
Ukarimu wa moyo wako ni
urithi, urithi wa vizazi na vizazi, mimi na Familia yangu, tutalijenga Kanisa,
mimi na Jirani zangu, tutalijenga Kanisa, mimi na marafiki zangu, tutalijenga
Kanisa, kwa moyo wenye upendo, tutalijenga Kanisa.
Mabeti
1. (a)
Shika chochote ulichonacho, tukalijenge Kanisa
(b)
Beba nondo zege na tofali, tukalijenge Kanisa
(c)
Beba mawe sementi mchanga, tukalijenge Kanisa
(d)
toa fedha na Mali yoyote, tukalijenge Kanisa
2. (a)
Sisi sote ndugu twaalikwa…..
(b)
Usiache nafasi ipite……….
(c) Mungu
wetu katupa uhai……….
(d)
Nyumba ya Mungu nyumba ya sala………