Mtunzi: Forogwe. A
> Tazama Nyimbo nyingine za Forogwe. A
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: APOLINARY MWANG'ENDA
Umepakuliwa mara 808 | Umetazamwa mara 2,143
Download Nota Download MidiWaumini wapenzi wa bwana (mungu) wakati umewadia wakulijenga kanisa letu kwa michango yetu x 2 kutoa si utajiri ndugu yangu twende tutoe kwa moyo safi moyo wa upendo tulijenge kanisa kwa nguvu zetu tulizojaliwa.
BETI
1. tutumie vizuri talanta tulizopewa na mungu tujiwekee hazina bora kwa mungu wetu (mungu) kwa mungu wetu mbinguni
2. kanisa litajengwa na waamini wenye moyo mwema wenye moyo wa majitoleo kwa mungu wetu (mungu) kwa mungu wetu mbinguni
3. tuige moyo safi kama wa yule mama mjane aliyetoa senti zote, kwa moyo safi (safi) bila kujali shida zake