Ingia / Jisajili

TULIKUPENDA SANA MUNGU AMEKUPENDA ZAIDI

Mtunzi: Aloys Ngomeni
> Mfahamu Zaidi Aloys Ngomeni

Makundi Nyimbo: Mazishi

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 825 | Umetazamwa mara 2,945

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Sisi Tulikupenda (sana) Lakini Mungu Baba, amekupenda zaidi. x2

  • 1.Tunakuombea kwake Mungu, ufike mbinguni ufurahi na watakati-fu.
  • 2.Tunakuombea kwake Mungu, u-samehewe usamehewe makosa ya-ko.
  • 3.Umetuachia Pengo kubwa katikati yetu, tunalia nakuombole-za.
  • 4.Raha ya milele iwe nawe na mwanga wa milele, u-pumzike kwa ama-ni.

Maoni - Toa Maoni

Samson mugabi Jan 25, 2023
Tulikupemda sanna lakini mingi amekupenda zaidi

Toa Maoni yako hapa