Mtunzi: A.Family
> Mfahamu Zaidi A.Family
> Tazama Nyimbo nyingine za A.Family
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Aloyce Family
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 2
Download Nota Download MidiTumaini langu naliweka kwako Bwana wangu na mungu wangu×2 Nijalie hekima na utii Bwana ili nikupende wewe na adui zangu wanaoni zunguka mchana na usiku wakitaka nijitenge nawe Bwana×2