Ingia / Jisajili

Tumealikwa Kwa Karamu

Mtunzi: Norman Papa
> Mfahamu Zaidi Norman Papa

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Norman Papa

Umepakuliwa mara 129 | Umetazamwa mara 291

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Chorus Tumealikwa kwenye karamu, karamu yake Bwana tule mwili tunywe pia damu, sote tushiriki *2 1.Kila aulaye mwili wangu hukaa ndani yangu nami ndani yake, maneno yake Bwana Yesu mwokozi 2.Huu ndio mwili wangu un’otolewa kwa ajili ya dhambi zenu, fanyeni hivi kwa ukumbusho wangu 3. Mimi ni chakula cha uzima kilichoshuka toka mbinguni kwa ajili ya uzima wa ulimwengu 4.Anao uzima wa milele alaye mwili na kunywa damu yangu, nitamfufua siku ya mwisho

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa