Ingia / Jisajili

Tumezitafakari Fadhili Zako

Mtunzi: Gabriel L. Lukosi
> Mfahamu Zaidi Gabriel L. Lukosi
> Tazama Nyimbo nyingine za Gabriel L. Lukosi

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Gabriel Lukosi

Umepakuliwa mara 229 | Umetazamwa mara 653

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
KIITIKIO: Tumezitafakari fadhili zako Ee Mungu katikati ya hekalu (hekalu lako) kama lilivyo jina lako Ee Mungu ndivyo na sifa zako hata miisho ya dunia Shairi: Mkono wako wa kuume ume jaa haki

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa