Ingia / Jisajili

Tumezitafakari Fadhili Zako

Mtunzi: Daniel E. Kashatila
> Mfahamu Zaidi Daniel E. Kashatila
> Tazama Nyimbo nyingine za Daniel E. Kashatila

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Daniel Kashatila

Umepakuliwa mara 191 | Umetazamwa mara 535

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 14 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 14 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 14 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Tumezitafakari Fadhili Zako Ee Bwana, katikati ya hekalu lako x2 Kama lilivyo jina lako ndivyo na sifa yako hata miisho ya Dunia x2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa