Ingia / Jisajili

Tumezitafakari Fadhili

Mtunzi: Davis Milenguko
> Tazama Nyimbo nyingine za Davis Milenguko

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 3,750 | Umetazamwa mara 8,932

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Tumezitafakari fadhili zako katika hekalu lako x 2
Kama lilivo jina lako Mungu ee Mungu ndivyo nafsi yako ndivyo nafsi yako hata miisho ya dunia x 2

  1. Na ufurahi mlima mlima wa Sayuni, binti za Yuda washangilie kwa sababu ya hukumu zako.
     
  2. Tembeeni katika Sayuni katika Sayuni, uzunguke mji, ihesabuni minara yake.
     
  3. Kwa maana ndivyo alivyo Mungu Mungu wetu, milele na milele yeye ndiye atakayetuongoza.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa