Ingia / Jisajili

Tumshangilie Kristo Mfufuka

Mtunzi: Gabriel Haule
> Mfahamu Zaidi Gabriel Haule
> Tazama Nyimbo nyingine za Gabriel Haule

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: Gabriel Haule

Umepakuliwa mara 49 | Umetazamwa mara 193

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kristu Amefufuka, Ameyashinda mauti, Tumshangilie Kristu Mfufuka, Ameyashinda mauti yu mzima MASHAIRI. 1. Aliyekufa sasa yu mzima, Ameyashinda mauti yu mzima (Tumshangilie Kristu mfufuka x2) 2.Sisi wazima ametukomboa, ametufanya sisi tuwe huru, (Tumshangilie Kristu Mfufukax2) 3. Ametutoa sisi utumwani, na kutufanya sisi wana wake (Tumshangilie Kristu mfufuka x2)
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa