Mtunzi: A.Family
> Mfahamu Zaidi A.Family
> Tazama Nyimbo nyingine za A.Family
Makundi Nyimbo: Shukrani
Umepakiwa na: Aloyce Family
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiSiku wiki miezi namiaka vyote vinapita mbele yangu, kwanini nisimshukuru Mungu wangu kwakunilinda×2 Tazama leo nakurudishia shukrani yangu kwaupendo wako Afya ukarimu Ahsante nashukuru×2 Kutoka Moyoni mwangu nasema pokea shukrani yangu Ee Bwana×2