Ingia / Jisajili

Tumshukuru Mungu (3)

Mtunzi: Joseph Joshua
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Joshua

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani | Zaburi

Umepakiwa na: Joseph Lazaro

Umepakuliwa mara 53 | Umetazamwa mara 85

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ni neno jema kumshukuru Mungu wetu aliyetuumba ametupa uhai nazo nguvu yote haya si kwa nguvu zetu ni mema mengi anayotupa pendo la Mungu kwetu ni kuu inatupasa tukamshukuru kwa yote anayotujalia, bila yeye hatuwezi kitu twende tumshukuru Mungu wetu ...

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa