Mtunzi: Daniel Denis
> Mfahamu Zaidi Daniel Denis
> Tazama Nyimbo nyingine za Daniel Denis
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Daniel Denis
Umepakuliwa mara 242 | Umetazamwa mara 1,502
Download Nota Download MidiKiitikio: (Tumsifu Mungu wetu milele, milele yote)*2 (Enyi watu wote msifuni ,msifuni Mungu wetu)*2
kwa maana fadhili zake kwetu niza milele.
1.Mungu huwaponya waliopondeka moyo, nakuziganga majeraha yao,huwategemeza wenye upole, nakuwaangusha chini wenye jeuri.
2.Wanyama, mimea , na bahani kazifanya yeye, msifuni kwa wingi wa ukuu wake ,msifuni, msifuni , msifuni kwa wingi wa ukuu wake.
3. Msifuni kwa kinanda, kinubi, matari na kucheza, msifuni kwa matoazi yaliayo, msifuni, msifuni, msifuni kwa matozi yavumayo sana.