Ingia / Jisajili

Tuna Haki Kufurahiwa Leo

Mtunzi: Beatus M. Idama
> Tazama Nyimbo nyingine za Beatus M. Idama

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: Beatus Idama

Umepakuliwa mara 578 | Umetazamwa mara 2,649

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

TUNA HAKI KUFURAHIWA LEO

1. Tuna haki kufurahiwa leo, Manabii walivyoagua, yatimia sawasa na chuo, Rabi yetu amejifufua.

2. Mayahudi husema kwa kiburi, amekwisha juzi tukamwua, kaburile limetiwa muhuri, jiwe zito hapana fungua.

3.  Mambo gani nieambie Yahudi, asikari mbio wakimbia, wana woga hao mjini warudi, kaza jiwe muhuri mpya tia.

4. Mpumbavu we na Mungu kushindana, ukitaka kumfunga kwa jiwe, kaburini Rabi hayumo tena, leo leo kaamka mwenyewe.

5. Rabi yangu kweli amefufuka, ni hakika ya imani yangu, nayo basi kwa Yahudi kushtuka, mfumba domo kimya kwa uchungu.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa