Ingia / Jisajili

Tunakuja Kuomba Toba

Mtunzi: Sabinus Komba

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 473 | Umetazamwa mara 1,630

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Tunakuja kwako Ee Bwana kuomba toba kwa dhambi zetu. x 2
Utusamehe, tuhurumie tunatubu makosa yetu. x 2

  1. Wewe Bwana wavipenda vitu vyote vilivyopo wala hukichukii chochote ulichokiumba.
     
  2. Unawasamehe watu dhambi zao wakifanya toba na kuwahurumia kwa kuwa ndiwe Bwana Mungu wetu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa