Mtunzi: Julius Gotta
> Tazama Nyimbo nyingine za Julius Gotta
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Julius Marco Gotta
Umepakuliwa mara 8 | Umetazamwa mara 6
Download NotaKiitikio.
Wanadamu wanadamu tunakwenda wapi, kwa maana tunapoteza uelekeox2
Mabeti.
(Wanaume)
1.Ee Mungu uliye mwingi wa huruma, tusaidie ili tusiangamie.
2.Usaliti unazidi kuongezeka, tusaidie ili tusiangamie.
3. Fedha imekuwa fimbo kwetu, ma-skini tunaangamia.
(Wanawake)
4. Twahitaji hurumayo Ee Mungu, Ohoo! Ooo! Tusaidie, Ehee! Ehee! Tuhurumie.