Ingia / Jisajili

Tunaleta Sadaka

Mtunzi: Noelle Hulk
> Mfahamu Zaidi Noelle Hulk
> Tazama Nyimbo nyingine za Noelle Hulk

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Noelle Hulk

Umepakuliwa mara 6 | Umetazamwa mara 7

Download Nota
Maneno ya wimbo

Tunaleta sadaka Eh Bwana Mungu upokee ×2

1. Vipaji (vipaji) Twaleta mbele zako (zako) Ee Bwana Mungu upokee

2. Mavuno (mavuno) ya shamba Tunaleta (Twaleta) Ee Bwana Mungu upokee

3.Ni nguvu ( ni nguvu) ulizo tupa wewe (wewe) Ee Bwana Mungu upokee


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa