Ingia / Jisajili

Tunaleta Vipaji

Mtunzi: Joshua D. Jahazi
> Mfahamu Zaidi Joshua D. Jahazi
> Tazama Nyimbo nyingine za Joshua D. Jahazi

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: joshua jahazi

Umepakuliwa mara 989 | Umetazamwa mara 3,741

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Tunaleta vipaji vyetu pokea, pokea baba x2, Kazi ya mikono yetu (wanadamu) upokee, Tunakuomba ee Bwana, upokee x

MASHAIRI

  1.  Mazao ya mashambani tunaleta, Tunakuomba ee Bwana upokee
  2.  Na fedha za mifukoni tunaleta. Tunakuomba ee Bwana upokee
  3. Tunakuja Mbele zako kwa shukrani,na sala zetu twaleta tusikie


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa