Ingia / Jisajili

Tunasema Asante

Mtunzi: Boniface Katiku
> Mfahamu Zaidi Boniface Katiku
> Tazama Nyimbo nyingine za Boniface Katiku

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Boniface Katiku

Umepakuliwa mara 213 | Umetazamwa mara 545

Download Nota
Maneno ya wimbo
1. Ni zawadi tunaleta mbele ya altare yako, ingawa ni kidogo twakuomba upokee Ni sehemu ya mapato uliyotujalia, ingawa ni kidogo twakuomba upokee Tunasema (le le le le) asante, asante, kwa baraka, asante, asante, kwa uzima, asante, asante, kwa neema asante asante, na Rehema asante, asante 2. Na vipaji tunaleta twaomba uzipokee, ingawa ni kidogo twakuomba upokee, nikupe nini ee Mungu kwa kuniweka huru, ingawa ni kidogo twakuomba upokee.... Tunasema (le le le le).... 3. Na dhabihu tunaleta twaomba uzipokee, ingawa ni kidogo twakuomba upokee, tushukuru vipi Bwana kwa mema uliyotenda, ingawa ni kidogo twakuomba upokee. Tunasema (le le le le)......

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa