Mtunzi: Steven kiteve
> Mfahamu Zaidi Steven kiteve
> Tazama Nyimbo nyingine za Steven kiteve
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Miito | Shukrani
Umepakiwa na: Steven Kiteve
Umepakuliwa mara 3 | Umetazamwa mara 3
Download Nota Download MidiTunatumwa kuihubiri Injili ya Bwana, kuwatangazia watu habari njema. Nasi tufanyike mashuhuda kwa maneno na matendo yetu, na wamfuase Kristo.