Mtunzi: Marini Faustine
> Mfahamu Zaidi Marini Faustine
> Tazama Nyimbo nyingine za Marini Faustine
Makundi Nyimbo:
Umepakiwa na: Eusebius Joseph Mikongoti
Umepakuliwa mara 305 | Umetazamwa mara 1,269
Download NotaKiitikio
Njoni tuombe imani, njoni tuombe imani x2 wakatoliki njoni tusali na kufunga (sote) tukiomba imani kwa kanisax2
Mashairi
1. Hakika tazama imani ilivyopotea Duniani watu hawamuamini Mungu wana tegemea nguvu za giza, (tumwombe Mungu atupe imani x2).
2. Na pia tazama ni mengi yanayotokea Duniani, ukitazama pande zote vita mauaji yametawala, (tumwombe Mungu atume imani x2).
3. Tazama machafuko yalivyoitawala Du-nia, ukitazama pande zote vita mauaji yametawala, (tumwombe Mungu atume imani x2).
4. Watu wanamuasi Mungu bila kujali ka-bisa, dhamiri zao zimekufa hawajali tena amri za Mungu, (tumwombe Mungu atume imani x2).