Ingia / Jisajili

Tuoshe Mikono Ya Roho

Mtunzi: Fr. Aloyce Msigwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Fr. Aloyce Msigwa

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Gervas Kombo

Umepakuliwa mara 354 | Umetazamwa mara 1,689

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Twende tujongeeni kwa Bwana, Karamuni ametualika twendeni (wote) twendeni (ndugu) twendeni x2

Lakini kabla ya kujongea lakini kabla yakujongea mezani kwa Bwana tuoshe mikono yetu mikono ya roho mikono ya roho ya roho tukisha kujitakasa tujongee meza yake Bwana x2

1.       Karamu yake Bwana ni karamu yenye uzima twendeni twendeni tukale chakula cha uzima

2.       Chakula chake Bwana ni mwili nayo damu yake simama jongea mezani kwa Bwana kwa chakula

3.       Kinywaji chake Bwana ni burudisho la roho zetu inuka ee ndugu tukanywe cha uzima


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa