Ingia / Jisajili

Tupeleke Vipaji

Mtunzi: John Sway
> Mfahamu Zaidi John Sway
> Tazama Nyimbo nyingine za John Sway

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 1,773 | Umetazamwa mara 4,916

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Twende wote tupeleke x 2, vipaji vyetu tupeleke kwa Bwana mazo yetu ya mashamba tupeleke kwa Bwana

Mashairi:

1. Kazi za mikono yetu tunakutolea ee Baba upokee / twakusihi Baba pokea.

2. Ni shukrani zetu Baba tunakutolea ee Baba upokee /  twakusihi Baba pokea.

3. Ni a zetu pia Baba tunakutolea ee Baba upokee /  twakusihi Baba pokea.

4. Vitu vyote mali yako tunakutolea ee Baba upokee /  twakusihi Baba pokea


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa