Ingia / Jisajili

Tupeleke Vipaji Vyetu

Mtunzi: Elisey Ngoty
> Mfahamu Zaidi Elisey Ngoty

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: elisey ngoty

Umepakuliwa mara 676 | Umetazamwa mara 2,321

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Tupeleke vipaji vyetu kwa bwana,tupeleke vipaji vyetu kwa bwana tumrudishie leo

kwa moyo safi tutoe bwana atapokea..

  1. Fedha nazo tunazotitoa twaomba uzitakase tena uzibariki bwaana
  2. Na mazao tunayo yatoa twaomba uyatakase tena uyabariki bwana
  3. Mkate na divai twaleta twaomba uvitakase tena uvibariki bwana
  4. Nasi wenyewe twajitoa kwako twaomba ututakase tena utubariki bwana

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa