Ingia / Jisajili

TUPENDANE

Mtunzi: Pancras Shayo Justine (Mzungu Jp)
> Mfahamu Zaidi Pancras Shayo Justine (Mzungu Jp)
> Tazama Nyimbo nyingine za Pancras Shayo Justine (Mzungu Jp)

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Pancras Justine

Umepakuliwa mara 285 | Umetazamwa mara 1,112

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
KIITIKIO: Mungu ni Pendo yeye ni Upendo [Bwana Mfalme ameketi] Bwana wa Majeshi ameketi[Baba Mungu] hali ya Mfalme atupenda nasi tupendane. VIIMBILIZI: 1. Akaja Yesu Bwana wa uzima kutuokoa, katika utumwa na mateso utumwa wa dhambi; utumwa wa dhambi nira ya yule mwovu shetani nasema, 2. Nasi kweli leo tunaalikwa sote kushiriki, umoja wa Kimungu na mapendo yake makuu; mapendo katika Ekaristi Takatifu nasema, 3.Kila apendaye ni Mtoto wa Mungu naye amjua Mungu bali asiyependa kamwe hamjui Mungu. 4. Nasi tukipendana Mungu anaishi nasi katika muungano na upendo wake unakamilika ndani yetu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa