Ingia / Jisajili

Tusali Pamoja

Mtunzi: Gaspar D. Idawa

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Geofrey Magova

Umepakuliwa mara 3,886 | Umetazamwa mara 8,901

Download Nota Download Midi

Maoni - Toa Maoni

Alex Apr 16, 2022
Music wa kristo

Raphael mahangale Jun 06, 2021
Naomba Nora za Kristu atawale

PAUL KINUNDA Feb 16, 2021
Wimbo mzuri sana, tumeomba na NOTA za "Kristo Atawale" by G. Idawa, ziwekwe hapa ili tuburudike nao kwenye kwaya zetu. Hongereni sana mnaoendesha tovuti/wavuti hii. kwanza ni msaada mkubwa na pia ni hatua kubwa sana katika tasnia hii ya mziki wa Kanisa Katoliki.

Sentalo Alex Nov 12, 2019
Mimi pia naomba unipatie nota za Kristo atawale

Caleb gayo Jul 22, 2019
Nawapongeza sana kwa hii wimbo tamu sana naomba mnitumie nota kwa email yangu plz! gayocaleb@gmail.com

levina majinja Jul 07, 2019
Naomba aweke nota za wimbo wa KRISTO ATAWALE walioimba masister wa Kiparapara

paschal Dec 20, 2017
nyimbo zinafundisha

Toa Maoni yako hapa