Mtunzi: Leo Lyimo
> Mfahamu Zaidi Leo Lyimo
> Tazama Nyimbo nyingine za Leo Lyimo
Makundi Nyimbo: Mama Maria
Umepakiwa na: Leo Lyimo
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiTusali rozali kwa heshima ya Bikira Maria x 2
Alipo watokea watoto wa fatima,alisema tusali rozali.
MASHAIRI
1. Tusali rozali ya Mama Maria,Tukikumbuka Salamu ya Malaika ya kubarikiwa mama yetu maria,Salamu Mama
2. Tusali rozali ya Mama Maria,Tukikumbuka kupalizwa kwake mama,Malaika pia wanafurahi sana,Salamu Mama.