Mtunzi: T. C. Masologo
> Mfahamu Zaidi T. C. Masologo
> Tazama Nyimbo nyingine za T. C. Masologo
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 931 | Umetazamwa mara 3,927
Download Nota Download MidiNjoni wote tuabudu x2
Tuimbe tusifu Ekaristi Ekaristi mwili na damu ya Bwana x2
1. Ekaristi Sakramenti kubwa sana ni zawadi kubwa ya mapendo
2. Njoni wote tuabudu Ekaristi tusifu kwa nyimbo nzuri za shangwe
3. Ekaristi uzima wa Roho zetu chimbuko la uzima wa milele
4. Yesu aliweka Sakramenti hii tulapo tunywapo tumkumbuke