Ingia / Jisajili

TUUTAFUTE UKAMILIFU

Mtunzi: Severine A. Fabiani
> Mfahamu Zaidi Severine A. Fabiani
> Tazama Nyimbo nyingine za Severine A. Fabiani

Makundi Nyimbo: Anthem | Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Sevelian Fabian

Umepakuliwa mara 222 | Umetazamwa mara 829

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Wakristo tuutafute ukamilifu katika kanisa letu Kanisa letu limejengwa katika misingi iliyokamilika nasi tukaao tuwe wakamilifu. Bwana Yesu ametuachia kila kitu utakatifu tunapata kutoka humox2 1. (A)Ukienda kanisani kuna kila alama. 1.(B) Yatupasa Sisi sote kufika kanisani , hayo yote yatuimalisheni kuutafuta ukamilifu... 2.(A) Ni katika sakrament tunapata 2.(B) uzima uzima wa roho zetu tunaupata humo, kila apataye sakrament hakika huyo yuko kamili.. 3.(A) tusali kila daima kwenye kanisa moja. 2(B) Takatifu katholiki na la mitume, tufuate mafundisho yote kwa hayo tutakamilishwa..

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa