Ingia / Jisajili

Tuwe Na Huruma

Mtunzi: Mwesswa matenda dieudonne
> Mfahamu Zaidi Mwesswa matenda dieudonne
> Tazama Nyimbo nyingine za Mwesswa matenda dieudonne

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mafundisho / Tafakari | Majilio | Mazishi | Miito | Mwaka wa Huruma ya Mungu

Umepakiwa na: Mwesswa matenda Dieudonne

Umepakuliwa mara 93 | Umetazamwa mara 358

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Tuwe na huruma Tuwe na huruma, kama vile baba alivyo mwenye huruma*2 1)-tusamhe wenzetu na tuta samehewa , Kwa huruma yetu tuta hurumiwa 2) huruma ya Mungu yame tuweka huru Funzo kubwa kwetu tuwe na huruma 3) kwa kipimo yetu ,kipimo ile ile Ndio ita letwa siku yake bwana

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa