Ingia / Jisajili

Tuzange na tulunde Aleluya

Mtunzi: Michael Mgalatia Jelas Nkana
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mgalatia Jelas Nkana

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: Michael Nkana

Umepakuliwa mara 272 | Umetazamwa mara 1,385

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio

Tuzange na tulunde aleluya, mwene Yesu watuturuka,

Wino pa msalaba wafwile, mpuma wakatuka watuturuka tulunde swensi aleluya.

mashairi

1.Tuzange na tuluunde aleluya kuno mwene Yesu watuturuka,

    tuzange swensi tulunde swensi Mwene Yesu watuturuka.

2.Tuzange na tuluunde aleluya kuno mwene Yesu watuturuka,

   tuzange swensi tuchine swensi Mwene Yesu watuturuka.

3. Tuzange na tuluunde aleluya kuno mwene Yesu watuturuka,

    tuzange Umini ngoma nivinsekese Mwene Yesu watuturuka.

Swahili Version

Tufurahi na twimbe aleluya Bwana Yesu Amefufuka,

Aliyekufa msalabani Yu hai mzima kafufuka tuimbe wote aleluya tuimbe wote aleluya.

1.Tufurahi na twimbe aleluya kwani Bwana Yesu amefufuka,

    Tufurahie tuimbe wote Bwana Yesu amefufuka.

2.Tufurahi na twimbe aleluya kwani Bwana Yesu amefufuka,

   Tufarahie tucheze wote Bwana Yesu Amefufukw.

3. Tufurahi na twimbe aleluya kwani Bwana Yesu amefufuka,

    Tupige ngoma pia kayamba Bwana Yesu amefufuka.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa