Mtunzi: Augustine Rutakolezibwa
> Mfahamu Zaidi Augustine Rutakolezibwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Augustine Rutakolezibwa
Makundi Nyimbo: Anthem | Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: AUGUSTINE RUTAKOLZIBWA
Umepakuliwa mara 622 | Umetazamwa mara 3,131
Download NotaTanzania ni nchi yetu twaipenda Tanzania
(Twaiombea amani nchi watu wake waishi kwa amani) x2
Kusiwepo migongano ya dini
Kusiwepo machafuko ya siasa
(Amani amani, utulivu vitawale) x2
Dini makabila yetu visitutenganishe
Misingi imara iliyoijenga nchi
(Isitikisike wala kutikiswa na mtu yeyote) x2
(Mungu mwenyezi nyosha mkono wako, mafarakano haya ya dini utuepushe) x2