Mtunzi: Peter.g.lulenga
> Mfahamu Zaidi Peter.g.lulenga
> Tazama Nyimbo nyingine za Peter.g.lulenga
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Geophrey Lulenga
Umepakuliwa mara 242 | Umetazamwa mara 1,915
Download Nota Download MidiTWAKUOMBA UPOKEE
KIITIKIO:Twakuomba upokee maombi yetu Bwana ,twakuomba upokee maombi yetu Bwana x 2.
SHAIRI:Ukinge familia zetu na maovu ,ukinge na maovu ya mwili na roho.