Mtunzi: Deogratius Dotto
> Mfahamu Zaidi Deogratius Dotto
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratius Dotto
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani | Watakatifu
Umepakiwa na: Deogratius Dotto
Umepakuliwa mara 3 | Umetazamwa mara 7
Download NotaTWAKUSIFU SOMO WETU
1. Twakusifu (sifu) somo wetu Yohane wa msalabax2
2. Nimwombezi (wewe) ni mwombezi wa Parokia yetu sisix2
3. Nimlezi (wewe) ni mlezi wa shirika la Karmelix2
4. Nimwalimu (wewe) ni mwalimu na kiongozi wetu borax2
5. Twahitaji (sisi) twahitaji maombi yako Baba yetux2