Ingia / Jisajili

Nchi yote itakusujudia

Maneno ya wimbo

Ee Mungu nchi yote itakusujudia nakukuimbia (naam) italiimbia Nina lako ewe mtukufu.×2

1.Njoni yatazameni matendo ya Mungu hutisha kwa mambo awatendayo wanadamu.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa