Ingia / Jisajili

Twasema Asante Sana

Mtunzi: Isaack L. Gahambi
> Tazama Nyimbo nyingine za Isaack L. Gahambi

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: cornel kapinga

Umepakuliwa mara 415 | Umetazamwa mara 861

Download Nota
Maneno ya wimbo
1) Ee we bwana Yesu kristu tunakushukuru , kwakutulisha mwili na damu yako twasema asante sana 2) Tazama tumekuja hapa , kuja kushukuru maombi yetu uyapokee yawe kama shukrani kwako. 3) Kila siku unatulisha pia watunywesha ni mapendo gani haya kwetu sisi twasema asante sana 4) Makubwa ulotutendea hayaelezeki , unatuepusha na ajali bwana twasema asante sana

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa