Mtunzi: Robert A. Maneno (Aka Albert)
> Mfahamu Zaidi Robert A. Maneno (Aka Albert)
> Tazama Nyimbo nyingine za Robert A. Maneno (Aka Albert)
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Mafundisho / Tafakari | Shukrani
Umepakiwa na: Albert Maneno
Umepakuliwa mara 594 | Umetazamwa mara 2,195
Download Nota Download MidiTwashukuru Bwana Yesu kwa Chakula ni mwili wako Bwana katika kiini cha ngano; Twashukuru Bwana Yesu kwa kinywaji tulichokunywa, ni damu yako Bwana katika umbo la divai. Bwana hutualika sote kushiriki karamu yako, sharti ni moja, Tuwe na usafi wa roho. Bwana twaomba ne'ma yako tu'tunze usafi wa roho, tustahili kila wakati kushiriki karamu yako.