Mtunzi: C. Ndekeja.
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Erick Wakusongwa
Umepakuliwa mara 704 | Umetazamwa mara 2,334
Download Nota Download MidiKIITIKIO.
Inuka inuka ndugu twende inuka twende tukatoe sadaka kwani uliyoiandaa kwa wiki nzima twendw twende tukamtolee Mungu sehemu ya pato letu, ee Baba, ee Mama, vijana wazee {twende twende} tukamtolee Mungu sehemu ya pato letu.
MASHAIRI.
1. Jipapase papase ndugu yangu uone ulichokiandaa kwa wiki nzima.
2. Usisite usifiche ndugu yangu nenda ukamtolee sadaka Mungu wako.
3. amekupa bure nawe katoe bure nenda ukamtolee sehemu ya pato lako.