Ingia / Jisajili

Twende Mezani Kwake Bwana

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 701 | Umetazamwa mara 1,086

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Twende twende mezani kwake Bwana kwa karamu yake Bwana Bwana anatualika Bwana anatualika kwa chakula chenye uzima X2

(Yeye Bwana alisema) aulaye mwili wangu aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu hukaa ndani yangu nami hukaa ndani yake X2

1. Mimi ndimi chakula chenye uzima kilichoshuka kutoka mbinguni mtu akila chakula hiki ataishi milele asema Bwana

2. Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu anao uzima uzima wa milele nami nitamfufua siku ya mwisho

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa