Ingia / Jisajili

Twende Nyumbani Mwa Bwana

Mtunzi: Basil Muyonga
> Tazama Nyimbo nyingine za Basil Muyonga

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Wekesa Mwasame

Umepakuliwa mara 10,101 | Umetazamwa mara 25,157

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Twende Nyumbani Mwa Bwana

@Basil Muyonga

Twende Nyumbani mwa Bwana  -  hoya twende nyumbani mwa Bwna hoya *2

Tuimbe tushangilie tupige vigelegele tupige makofi hoya hoya * 2

  1. Twende tumsifu kwa nyimbo za Zaburi wakistu  hoya - Tumsujudie twende tukamwabudu wakistu hoya
  2. Twende tumsifu kwa ngoma na kayamba wakristu, hoya - Tumsujudie twende tukamwabudu wakstru, hoya
  3. Twende tukacheze vinanda na vinubi wakristu, hoya - Tumsujudie twende tukamwabudu wakristu, hoya
  4. Tujitayarishe kwa nyimbo zake Bwana wakristu, hoya - Tumsujudie twende tukamwabudu wakristu, hoya


Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Henry Sirengo Feb 26, 2024
Kazi njema kabisa. Hii ni sawa kabisa

Georgina Mweu Feb 06, 2024
Pongezi sana

Maria Jan 10, 2024
So awakening and uplifting, thanks be to God.

vincent mulefu Dec 03, 2022
Tamu zaidi

Shadrack Juma Jan 18, 2022
Naipongeza sana Iko sawa ila naomba kama ningepata ile sehemu ya kuimba bass pekee

Dennis muceke Jul 04, 2021
Iko sawa

Toa Maoni yako hapa