Ingia / Jisajili

Twende Tukafunge Ndoa

Mtunzi: Yosefu M.Masokola
> Mfahamu Zaidi Yosefu M.Masokola
> Tazama Nyimbo nyingine za Yosefu M.Masokola

Makundi Nyimbo: Ndoa

Umepakiwa na: Yosefu Magobongo Ng'wana Mungu Rogopa

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

A/Kanyaga polepole (ewe) Kipenzi changu tuingie kwa furaha twende tukafunge ndoa

B/Kwelileo ni shangwe ewe kipenzi changu tunakenda kuti miza ile Amri yake mungu

A/Hayasasa twende ewe mpendwa wangu ili tukaitimize haja ya moyo wetu B/MUNGU wa mbinguni atusaidie pendoletu kwel lidumu milele.

Mashairi

1.Leonisikuyetu siku yetu yaha rusi Twende mimi nawe twende tuka funge ndoa.

2.Tukalithibi tishe pendoletu sikuya leo Twende_, _

3.Basituingie tuingie kwafuraha  Twende -------


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa