Mtunzi: Francisco Zacharia
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Francisco Zacharia
Umepakuliwa mara 146 | Umetazamwa mara 475
Download Nota
Download Midi
Maneno ya wimbo
1. Wana Imakulata, tulijenge kanisa letu, kwa michango yetu, kwa chchote kitu. Na twende, twende, twende wote…
2. Sasa twendeni wote tuijenge parokia yetu, hapa ni nyumbani, tusipakimbie. Na twende, twende, twende wote..
KIITIKIO:
Tulijenge kanisa letu, tulijenge tena kwa moyo, tulijenge kwa hali na mali tutapata baraka.