Ingia / Jisajili

Twendeni Kwa Karamu

Mtunzi: Mwalimu Joel
> Mfahamu Zaidi Mwalimu Joel
> Tazama Nyimbo nyingine za Mwalimu Joel

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Mwalimu Joel

Umepakuliwa mara 3 | Umetazamwa mara 3

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Twendeni kwa karamu meza imeadaliwa yesu Kristu mwenyewe ametualika twende

1.Kumpokea yesu ni heri za mbinguni- kweli wanayo heri wanao mpokea.

2.Mwili na damu yake ni chakula cha mbingu-

3.Tuule mwili wake natunywe damu yake-

4.Ndugu we waalikwa kumpokea yesu,-


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa