Mtunzi: Josephat Sarwatt
> Mfahamu Zaidi Josephat Sarwatt
> Tazama Nyimbo nyingine za Josephat Sarwatt
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: DANIEL NSUBILE
Umepakuliwa mara 3,111 | Umetazamwa mara 7,190
Download Nota Download MidiTwendeni wote kwa karamu takatifu ya Bwana ya mwili na damu ya Bwana Yesu humo mnaapta uzima uzima wa milele Twendeni kwa furaha x2
1. Yeye ni uhai wa Roho zetu uhai ule wa ilele
2. Yeye ni chakula chakula cha uzima uzima ule wa milele
3. Yeyey ni kinywaji kinywaji cha uzima uzima ule wa milele
4. Wakristu twendeni mezani kwa Bwana tukale mwili na damu yake