Mtunzi: Edmund C.sambaya
> Mfahamu Zaidi Edmund C.sambaya
> Tazama Nyimbo nyingine za Edmund C.sambaya
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Edmund Sambaya
Umepakuliwa mara 550 | Umetazamwa mara 2,159
Download Nota Download MidiKIITIKIO: Twendeni mezani mwa Bwana( wapendwa)2 tukale mwili wa Bwana, tukanywe Damu ya Bwana, ili tupate uzima wa milele, Twendeni mezani mwa Bwana
MASHAIRI: 1.Chakula chake Bwana kitayari, twendeni watu wote tukale.
2.Kinywaji chake Bwana kitayari, twendeni watu wote tukanywe.
3.Tutashibishwa kiu itaisha, twendeni wote basi tushiriki.
4.Ashirikiye karamu ya Bwana, ataishi milele na milele.