Ingia / Jisajili

Twendeni Na Sadaka

Mtunzi: Ezekiel mwalongo
> Mfahamu Zaidi Ezekiel mwalongo
> Tazama Nyimbo nyingine za Ezekiel mwalongo

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Ezekiel Mwalongo

Umepakuliwa mara 13 | Umetazamwa mara 13

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Twende kwa Bwana tukatoe sadka zetu kwa Bwana aliyetuumba, tukaseme asante kwa mema mengi tuliyojaliwa, twendeni na sadaka zetu (kwake Bwana) tutoe na nia zetu tukamtolee Bwana Mungu wetu.

Maambilizi

1.Twakutolea mazao mazao ya mashamba nikazi ya mikono ya mikono yetu

2.Twakutolea Mkate ni mazao ya ngano (toka) ardhi uliyo irutubisha wewe

3.Twakutolea divai tunda la mzabibu umetujalia tujalia wewe


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa